Namungo tayari kuivaa Rabita

Namungo tayari kuivaa Rabita KOCHA wa Namungo FC , Hemmed Morocco amesema anakipanga kikosi chake kwa lengo la kumaliza mchezo mapema dhidi ya Rabita FC kwenye mchezo wa raundi ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika utakaopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex keshokutwa. Licha ya kutokuwa na taarifa za wapinzani wao hao, lakimi Morocco amesisitiza kuwa watatumia mbinu kuwamaliza mapema Rabita FC ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kupenya raundi inayofuata. Akizungumza Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Uhuru wakati wa mazoezi ya kikosi chake jana, Morocco alisema wako vizuri na wanaendelea na mazoezi huku wachezaji wake wote wako vizuri. "Ni wawakilishi wa nchi » Read More

Nov 26
Ruvu, Kagera, Gwambina zatakata Ligi Kuu
Nov 25
TANZIA: DIEGO MARADONA AFARIKI DUNIA
MO Dewji amjibu Kigwangalla "nisamehe"
Simba yaifuata Plateau United
Azam, Yanga mechi ya kuwania usukani
TFF yazikana fedha ‘chafu’
Nov 24
TFF YATOA UFAFANUZI SAKATA LA RAIS WA CAF
TFF yakana Wallace Karia sio mfaidika wa pesa za CAF/Ahmad Ahmad
Kaze awashusha presha Yanga
Nov 23
Mama Samia atoa neno kwa wanariadha
Nov 22
Mgunda:Tanzania haina wachezaji warefu wa kike
Nov 21
Mo aongeza mzigo Simba
KIGWANGALLA: NILIKUTANISHWA NA MO DEWJI NA BABA YAKE MZEE GMD
Simba, Azam kazi wanayo
Yanga yapata Katibu mpya
 
» More Soccer News