0
MenuInfos
Siasa

LISU ACHUKUA FOMU YA URAIS

LISU ACHUKUA FOMU YA URAIS

Sat, 8 Aug 2020 Source: Zanzibar 24

Baaba ya wagombea kutoka vyama mbalimbali vya siasa nchini kuchukua fomu ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania NEC Mgombea mwengine kutoka CHADEMA, Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea Mwenza, Salum Mwalimu amechukua fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma.

Chanzo: Zanzibar 24

Join our Newsletter