0

VIDEO:Muonekano wa Studio ya S2kizzy baada ya kuvamiwa DSM

VIDEO:Muonekano wa Studio ya S2kizzy baada ya kuvamiwa DSM

Thu, 15 Oct 2020 Source: Millard Ayo

Ni Usiku wa kuamkia Octoba 15, 2020 ambapo studio za mtayarishaji S2kizzy zilizopo Sinza Dar es Salaam zilivamiwa na kufanyika uharibifu wa vitu vya studioni hapa, Sasa hapa Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea hin video ujionee muonekano wa Studio hiyo baada ya kuvamiwa.

Ni Usiku wa kuamkia Octoba 15, 2020 ambapo studio za mtayarishaji S2kizzy zilizopo Sinza Dar es Salaam zilivamiwa na kufanyika uharibifu wa vitu vya studioni hapa, Sasa hapa Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea hin video ujionee muonekano wa Studio hiyo baada ya kuvamiwa. STUDIO ZA PRODUCER S2KZY ZAVAMIWA, WAVULIWA NGUO NA KUPIGWA, HANSTONE AELEZEA ILIVYOKUWA

Chanzo: Millard Ayo