0

Unene unamtesa kijana wa Kitanzania "Kilo 169, makondakta wananikataa" (+video)

Video Archive
Fri, 13 Nov 2020 Source: Millard Ayo

Kijana wa Kitanzania Juma Mkunda amewaomba Watanzania msaada wa kupata matibabu kutokana na tatizo la unene linalomkabili hadi kufikisha Kilo 169.

Mkunda ameomba msaada huo akiwa Jijini DSM wakati wa maadhimisho ya magonjwa yasiyoambukizwa yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja, ameeleza changamoto anazokumbana nazo na kwamba hilo tatizo hakuzaliwa nalo.

“Nina miaka 31, mara ya mwisho kufanya vipimo nilikuwa na Kilo 169, napata changamoto ya usafiri maambiwa namaliza nafasi wanakataa kunipandisha, naomba msaada namba yangu 0653377979,” Mkunda

HATARI, WANAFUKUA MAITI KABURINI, KUWABADILISHA NGUO, KUVUTISHA SIGARA, “MAPENZI HAYAISHI”

Chanzo: Millard Ayo