0

Rose Ndauka ajifungua mtoto wa kiume tarehe yake ya kuzaliwa

Rose Ndauka ajifungua mtoto wa kiume tarehe yake ya kuzaliwa

Thu, 8 Oct 2020 Source: Millard Ayo

Mwigizaji wa kike wa Muda mrefu Rose Ndauka amefanikiwa kupata mtoto wa kiume baada ya kujifungua siku moja na siku yake ya kuzaliwa ambayo ni October 7.

Rose Ndauka amethibitisha taarifa hizo kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa….>>”Happy bithday to me and my little boy,am very happy najiona niliye barikiwa sana naona utukufu wako Muumba wangu,sitaacha kukushuru kwa kila jambo”

Hizi hapa chini ni Picha za Rose Ndauka akiwa Mjamzito

Chanzo: Millard Ayo