PICHA: Muonekano mpya wa Rammy Galis na vazi lililoshtua mtandaoni
Thu, 8 Oct 2020
Source: Millard Ayo
Mwigizaji Rammy Galis ametuonesha picha za muonekano wake mpya akiwa amevalia vazi lililoibua mjadala, kutokana na mshono wake kutafsiriwa kuwa ni Nguo ya kike.
Mwigizaji Rammy Galis ametuonesha picha za muonekano wake mpya akiwa amevalia vazi lililoibua mjadala, kutokana na mshono wake kutafsiriwa kuwa ni Nguo ya kike. Unaweza kutazama picha hapa chini.
Chanzo: Millard Ayo