0

NANDY ASHINDA TUNZO YA MSANII BORA WA KIKE AFRICA MASHARIKI

Mon, 16 Nov 2020 Source: zanzibar24.co.tz

Msanii wa muzikinNchini Tanzania Faustina Charles Mfinaga maarufu kama The African Princess Nandy ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki ‘Best Female East Africa’ kwenye tuzo za AFRIMMA2020.

Chanzo: zanzibar24.co.tz