0

Mwigizaji Kajala na mwanae Paula kuja na reality Show

Fgfgfgfgf 625x400 Mwigizaji Kajala na mwanae Paula kuja na reality Show

Thu, 10 Jun 2021 Source: millardayo.com

NI Mwigizaji Kajala Masanja ambae time hii kupitia kukurasa wake wa inastagram amewajuza mashabiki wake ujio wa reality show yake ambayo ameipa jina la ‘Mother &  Daughter  like twins’, katika reality show hiyo ataonekana pia binti yake Paula.

NI Mwigizaji Kajala Masanja ambae time hii kupitia kukurasa wake wa inastagram amewajuza mashabiki wake ujio wa reality show yake ambayo ameipa jina la ‘Mother &  Daughter  like twins’, katika reality show hiyo ataonekana pia binti yake Paula. Kipindi hicho kipya ambacho kitakuwa kikionesha maisha halisi ya Kajala na Mwanae Paula lakini bado hakijawekwa wazi mahali kitakaporushwa hewani, endelea kukaa nasi Ayo TV & millardayo.com tutaendelea kukujuza.

Chanzo: millardayo.com