0

Mwalimu anafundisha wanaoona "ilitumbukia mtoni nikitoka shule"

Tue, 6 Oct 2020 Source: Millard Ayo

Wakati Tanzania na Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya Walimu AyoTV na millardayo.com tumemtafuta Mwalimu Bahati Sanga yeye ni mlemavu asiyeona lakini anafundisha shule kongwe ya wavulana Tabora (Tabora Boys) kutaka kujua mazingira ya kazi yake kwani anafundisha wanafunzi wenye ulemavu na wasio na ulemavu.

Chanzo: Millard Ayo