0

Mkali wakucheza na pikipiki Arusha,katuonyesha ufundi wake wakunyanyua pikipiki

Mkali wakucheza na pikipiki Arusha,katuonyesha ufundi wake wakunyanyua pikipiki

Fri, 20 Nov 2020 Source: Millard Ayo

Kutana na Kelvin Gabriel makazi yake ni Arus,ndoto yake ni siku moja ni kumiliki duka kubwa la pikipiki na kufanya mashindano ya pikipiki anasema alianza kushirtiki mashindano ya pikipiki mwaka 2015,kwenye mashindano ambayo yamefanyika october mwaka 2020 Arusha alishika namba nne.

Kutana na Kelvin Gabriel makazi yake ni Arus,ndoto yake ni siku moja ni kumiliki duka kubwa la pikipiki na kufanya mashindano ya pikipiki anasema alianza kushirtiki mashindano ya pikipiki mwaka 2015,kwenye mashindano ambayo yamefanyika october mwaka 2020 Arusha alishika namba nne. DOGO ANA MIAKA 13 LAKINI KAONGOZA KWENYE MASHINDANO YA PIKIPIKI ARUSHA “NIMEWACHAPA”

Chanzo: Millard Ayo