0

Mila ambayo hufukua maiti, kuibadilisha nguo, kupiga nayo picha (+video)

Video Archive
Fri, 13 Nov 2020 Source: Millard Ayo

Kila mwaka huko kaitika Kisiwa cha Sulawesi, Tana Toraja, Indonesia, wafu hufukuliwa kutoka makaburini ili kubadilishwa nguo na kuwatembeza Kijini hapo, watu wa eneo hilo wa kabila la Toraja wana mila ya ajabu inayoiitwa Ma’nene  ambayo wanaamini mtu akifa bado yuko nao kwa hiyo inawalizimu kufanya mambo hayo kama kuwabadilisha nguo.

Kila mwaka huko kaitika Kisiwa cha Sulawesi, Tana Toraja, Indonesia, wafu hufukuliwa kutoka makaburini ili kubadilishwa nguo na kuwatembeza Kijini hapo, watu wa eneo hilo wa kabila la Toraja wana mila ya ajabu inayoiitwa Ma’nene  ambayo wanaamini mtu akifa bado yuko nao kwa hiyo inawalizimu kufanya mambo hayo kama kuwabadilisha nguo. Wao mtu akifa hutakiwa kuzikwa katika eneo alilozaliwa na si lazima azikwe katika eneo alilofia, idadi kubwa ya watu wa eneo hilo ni Wakristo, wanaofuata ni Waislam na wengine ni Wapagani ambao wanajulikana kwa imani au madhehebu ya Aluk To Dolo yaani “Njia ya Mababu”.Mzizi wa imani ya utamaduni wa Manine ni kwamba “mapenzi kati ya binaadamu na wanafamilia hayawezi kuisha kamwe hata baada ya kifo”.LAANA YA KIFO INAYOMUANDAMANA JOE BIDEN, ATAKUFA?, MARAIS 7 IMEWAKUMBA WAKAFA

Chanzo: Millard Ayo