0

Mama yake Mr beneficial ageukia comedy “mimi ni pisi kali,pesa kidogo diet”

Fri, 23 Oct 2020 Source: millardayo.com

Mara chache imekuwa ni ngumu kuona mzazi akifanya kazi moja na mwanaye,leo millardayo.com imezungumza na  mpambanajiBrenda Mrikaria Mama mzazi wa mchekeshaji wa Tanzania Mr Beneficial, ambaye na yeye ameamua kuingia kwenye comedy na amesema kwenye familia nzima wote ni wachekeshaji

Mara chache imekuwa ni ngumu kuona mzazi akifanya kazi moja na mwanaye,leo millardayo.com imezungumza na  mpambanajiBrenda Mrikaria Mama mzazi wa mchekeshaji wa Tanzania Mr Beneficial, ambaye na yeye ameamua kuingia kwenye comedy na amesema kwenye familia nzima wote ni wachekeshaji KUTANA NA BEATRICE, MUUZA KEKI MWENYE MASTERS MBILI

Chanzo: millardayo.com