0

List ya nchi kumi salama zaidi duniani

List ya nchi kumi salama zaidi duniani

Mon, 9 Nov 2020 Source: Millard Ayo

Shirika maalumu la uchunguzi la Marekani Gallup limetoa orodha ya nchi salama zaidi duniani ikionesha Turkmenistan na Singapore zimeshika nafasi ya kwanza kwa pamoja kwa kupata alama ya 97 na China imepata nafasi ya tatu kwa kupata alama ya 94.

Nchi nyingine ziko katika nafasi kumi za mwanzo ni pamoja na Iceland, Kuwait, Norway, Austria, Uswisi, Uzbekistan na UAE.

Shirika hilo limesema, uchunguzi huo unahusisha nchi na sehemu 144 duniani na kushirikisha watu zaidi ya laki 1.75.

Mbali na hayo, Marekani imepata alama 85 huku Russia ikipata alama 74 na nchi hizo mbili zote hazijaingia katika nafasi kumi za mwanzo.

TAZAMA RAIS MAGUFULI ALIVYOINGIA KANISA, ATOA NENO

Chanzo: Millard Ayo