0

LULU MICHEAL ADAIWA KUFUNGA NDOA FEKI

LULU MICHEAL ADAIWA KUFUNGA NDOA FEKI

Fri, 13 Nov 2020 Source: Zanzibar 24

Staa wa filamu nchini Tanzania (Bongomovies) Elizabet Micheal maarufu Lulu ameibua maswali mengi kwa mashabiki zake na kufanya headlines kuwa nyingi Sana baada ya kuposti picha kwenye ukurasa wake wa kijamii wa Instagram akiwa na vazi la harusi ambapo wengi waliamini kuwa kafunga Ndoa na mpenzi wake Majizo.

Staa wa filamu nchini Tanzania (Bongomovies) Elizabet Micheal maarufu Lulu ameibua maswali mengi kwa mashabiki zake na kufanya headlines kuwa nyingi Sana baada ya kuposti picha kwenye ukurasa wake wa kijamii wa Instagram akiwa na vazi la harusi ambapo wengi waliamini kuwa kafunga Ndoa na mpenzi wake Majizo. Katika hali hio ya Sinto Fahamu inadaiwa kuwa Lulu Kumbe hajafunga Ndoa halali na ndoa hio nifeki na Bwana ni Harusi mwingine na imadaiwa kuwa ndoa hio ni moja ya kazi zake mpya ya Bongomovies.

Chanzo: Zanzibar 24