0

Kwa uchungu Zari adondosha Machozi, atoa misaada kwa watoto wenye matatizo ya upasuaji MOI

Kwa uchungu Zari adondosha Machozi, atoa misaada kwa watoto wenye matatizo ya upasuaji MOI

Fri, 13 Nov 2020 Source: Millard Ayo

NI Headlines za mrembo Zari The Boss Lady ambae Leo Novemba 12,2020 pamoja na watoto wake walitembelea Taasisi ya mifupa MOI ambapo alitoa misaada mbalimbali kwa watoto wenye matatizo ya upasuaji,  sasa kuna hii video hapa Ayo TV ilimnasa wakati aliposhindwa kujizuia kisha akadondosha Machozi baada ya kukuta hali za watoto hao si nzuri itazama hapa.

NI Headlines za mrembo Zari The Boss Lady ambae Leo Novemba 12,2020 pamoja na watoto wake walitembelea Taasisi ya mifupa MOI ambapo alitoa misaada mbalimbali kwa watoto wenye matatizo ya upasuaji,  sasa kuna hii video hapa Ayo TV ilimnasa wakati aliposhindwa kujizuia kisha akadondosha Machozi baada ya kukuta hali za watoto hao si nzuri itazama hapa. NIMEUMIZWA” ZARI KAFUNGUKA KILICHOMFANYA AKALIA BAADA YA KUWAONA WATOTO ALIOENDA KUWAPA MSAADA

Chanzo: Millard Ayo