0

HARMONIZE KUJA NA ALBAM MPYA "HIGH SCHOOL"

HARMONIZE KUJA NA ALBAM MPYA "HIGH SCHOOL"

Wed, 7 Oct 2020 Source: Zanzibar 24

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya Konde Gang Harmonize amedokeza ujio wa labum yake ya pili ambayo ataipa jina la HIGH SCHOOL.

Kupitia ukurasa wake wa Instagrama Harmonize ame share post akimuonyesha yupo anaandaa muziki na kuandika HIGH SCHOOL THE Album.

Mapema mwaka huu Harmonize aliachia album yake ya kwanza iliyoend akwa jina la AFROEAST ambayoa alifanya collabo na wasanii tofauti tofauti wakiwemo Burna boy kutoka Nigeria.

Chanzo: Zanzibar 24