0

Alichozungumza Mwana FA baada ya kuapa "maisha ya wasanii na kazi yao zitabadilika" (+video)

Alichozungumza Mwana FA baada ya kuapa "maisha ya wasanii na kazi yao zitabadilika" (+video)

Tue, 10 Nov 2020 Source: Millard Ayo

“Kwanza Mimi nimekuja kwa tiketi ya wanaMuheza lakini mahali nilipo naweza kusukuma mambo mengi mengine yakiwemo ya Wasanii, kama kuna mtu ambaye yupo ndani ya Bunge hili kwa sasa anajua shida na matatizo ya wasanii ni Mimi” Hamis Mwinjuma

“Nimefanya muziki kwa miaka zaidi ya 18 hakuna nisichokijua najua muziki na changamoto zake kama ninavyojua kiganja changu Cha mkono na niwahakikishie kama nitakuwa chanzo cha kuhakikisha maisha ya wasanii na kazi yao kwa ujumla inarahisishika” Hamis mwinjuma

“Basi sitasita kufanya hivyo naahidi nitakuwa kimbelembele kwelikweli kuhakikisha kuwa nawasaidia”– Hamis Mwinjuma, Mbunge wa Muheza

Chanzo: Millard Ayo