0

Jamaa akatwa masikio yake mawili baada ya kukutwa na Mke wa mtu kichakani (+video)

Video Archive
Mon, 1 Mar 2021 Source: Millard Ayo

Ibrahim Fadhili ni mkazi wa Kata ya Magugu mkoani Manyara amekatwa masikio yake mawili pamoja na kuumizwa kwenye macho baada yakukutwa na mume wa binti aliyekuwa naye kwenye kichaka majira ya usiku akidai kuzungumza naye ili aweze kumsaidia kupata chuo.

Chanzo: Millard Ayo