0

Baba amuua Mama na mwanae na kajinyonga (+video)

Thu, 1 Apr 2021 Source: millardayo.com

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linaendelea kufanya uchunguzi wa tukio la vifo vya watu watatu wa familia moja ambalo limetokea Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linaendelea kufanya uchunguzi wa tukio la vifo vya watu watatu wa familia moja ambalo limetokea Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Kamanda wa Polisi Mkoani humo Revocatus Malimi ameeleza kuwa uchunguzi wa awali umebaini chanzo cha tukio hilo ni ugomvi wa imani za kidini.

Chanzo: millardayo.com