0

TAZANIA IMEPEWA KIBALI CHA KUTUMIA NEMBO SAFE TRAVELS

TAZANIA IMEPEWA KIBALI CHA KUTUMIA NEMBO SAFE TRAVELS

Sat, 8 Aug 2020 Source: Zanzibar 24

Tazania imepewa kibali Cha kutumia nembo ya Destination salama kwa watalii na shirikisho la utalii la dunia WTTC kutokana na kuchukua tahadhari za ugonjwa wa COVID 19 kwa watalii na wageni mbalimbali wanaosafiri kuja kutembelea nchini Tanzania.

Tazania imepewa kibali Cha kutumia nembo ya Destination salama kwa watalii na shirikisho la utalii la dunia WTTC kutokana na kuchukua tahadhari za ugonjwa wa COVID 19 kwa watalii na wageni mbalimbali wanaosafiri kuja kutembelea nchini Tanzania. Hayo yameelezwa na Waziri wa Waziri wa Utalii na maliasili nchini Tanzania Dkt. Hamis Kigwangala wakati wa utoaji tunzo za utalii TANAPA 2020.

Chanzo: Zanzibar 24

Join our Newsletter