0

Kijana wa Kitanzania aliebadili IST yake na kuweka mfumo wa gesi (+video)

Mon, 15 Feb 2021 Source: millardayo.com

Philipo ni kijana wa kitanzania ambaye amejiajiri kwa kufanya kazi ya udereva wa taxi za mtandaoni, mwaka 2018 alikata tamaa na kutaka kuachana na kazi hiyo sababu ya gharama za petrol kuwa juu na ndipo alipoamua kubadili mfumo wa gari yake Toyota IST ianze kutumia gesi na sio Petrol.

Chanzo: millardayo.com