0

YEMIALADE KUTOA ALBAM YA TANO KESHO

Thu, 19 Nov 2020 Source: zanzibar24.co.tz

Msanii kutoka nchi Nigeria Yemialade anatarajia kutoa Album yake ya Tano (5) rasmi mapema kesho Novemba 20,2020.

Msanii kutoka nchi Nigeria Yemialade anatarajia kutoa Album yake ya Tano (5) rasmi mapema kesho Novemba 20,2020. Yemialad ameshare Art work pamoja na Tracklist ya ngoma ambazo zitapatikana kwenye Album yake hiyo aliyoipa jina la “Empress” yenye ngoma 15.

Chanzo: zanzibar24.co.tz