0

TUNZO ZA MTV BASE ZAHAIRISHWA

TUNZO ZA MTV BASE ZAHAIRISHWA

Fri, 5 Feb 2021 Source: Zanzibar 24

Waandaaji wa Tuzo za MTV Africa Music Awards wametangaza kuahirishwa Kwa hafla ya ugawaji wa Tuzo za hizo MTVMama 2021, ilizotarajiwa kufanyika Februari 20 mwaka huu 2021 Jijini Kampala, Uganda.

Waandaaji wa Tuzo za MTV Africa Music Awards wametangaza kuahirishwa Kwa hafla ya ugawaji wa Tuzo za hizo MTVMama 2021, ilizotarajiwa kufanyika Februari 20 mwaka huu 2021 Jijini Kampala, Uganda. Kupitia Ukurasa Wa Instagram Wa MTVBASE Umeandika…..”MTV Base yaahirisha Tuzo Za Muziki Za MTV Africa 2021. Kwa Habari Zaidi Tutaendelea Kuwajulisha Mashibiki.

Chanzo: Zanzibar 24