0

Mfahamu Bilionea Ginimbi aliefariki kwenye ajali ya Gari, Mali zake na magari ya kifahari

Tue, 10 Nov 2020 Source: millardayo.com

NI Headlines  za Genius Kadungure aka Ginimbi ambae usiku wa kuamkia Novemba 8 Jumapili alifariki Dunia akiwemo na marafiki zake watatu ambao ni Michelle Amuli a.k.a Moana, Limumba Karim wa (Malawi) pamoja na Elisha (Raia wa Msumbiji) katika ajali ya gari aina ya Rolls Royce iliyogonga magari matatu kisha kuelekea kwenye mti na kuwaka moto huko nchini Zimbambwe.

NI Headlines  za Genius Kadungure aka Ginimbi ambae usiku wa kuamkia Novemba 8 Jumapili alifariki Dunia akiwemo na marafiki zake watatu ambao ni Michelle Amuli a.k.a Moana, Limumba Karim wa (Malawi) pamoja na Elisha (Raia wa Msumbiji) katika ajali ya gari aina ya Rolls Royce iliyogonga magari matatu kisha kuelekea kwenye mti na kuwaka moto huko nchini Zimbambwe. Sasa huenda uliipata taarifa hiyo juu kwa juu hapa Millardayo.com imekuandalia historia tente dakika 7 ikieelezea maisha ya  Ginimbi tangu alipoanza kumiliki Gesi, Club Dreams Nightlife, kuwa Bilionea, itazame hii video hapa.

Chanzo: millardayo.com