0

Megan Thee Stallion atajwa kuwa na ushawishi duniani

Megan Thee Stallion atajwa kuwa na ushawishi duniani

Thu, 24 Sep 2020 Source: Millard Ayo

Leo September 24, 2020 Rapper wa kike Megan Thee Stallion ametajwa na jarida la Time Magazine kuwa miongoni mwa watu 100 wenye ushawishi mkubwa Duniani kwa Mwaka 2020.

Megan Thee Stallion ameingia katika nafasi hiyo kutokana na ushawishi wake kwenye Sanaa ya muziki duniani kwani ameweza kupata Mafanikio makubwa ikiwemo kutapata tuzo ya MTV VMA, kupitia wimbo wake wa SAVAGE ambao uliweza kuleta challenge kubwa katika mitandao ikiwemo mtandao wa TikTOK.

‘KIPUA’ STAA ANAEHESHIMIKA KWAO, AMEFANYA TAMASHA IKULU, MREMBO ANAEMMILIKI, ANAJAZA UMATI

Chanzo: Millard Ayo