0

Mashindano ya CECAFA kufanyika Arusha,huu ndio uwanja utakaotumika

COVER MECHI 660x400 Mashindano ya CECAFA kufanyika Arusha,huu ndio uwanja utakaotumika

Fri, 20 Nov 2020 Source: Millard Ayo

Mashindano ya mpira wa miguu kwa wavulana chini ya umri wa miaka 20 yaliyoandaliwa na shirikisho la mpira wa miguu  Afrika Mashariki (CECAFA) ikishirikisha nchi tisa yanatarajia kuanza kufanyika mkoani Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta amesema hadi sasa nchi mbili zimeshawasili kwa ajili yakujiandaa na mashindano hayo ambapo mechi hizo zitachezwa katika viwanja viwili vilivyochaguliwa ikiwemo cha Sheikh Amri Abeid Stadium pamoja na kiwanja cha Black Rhino.

NOMAA!! MKALI WAKUCHEZA NA PIKIPIKI ARUSHA ALIVYOTUONYESHA UFUNDI WAKE “MAKOMBE YAPO

Chanzo: Millard Ayo