0

"Kipua: staa anaeheshimika, amefanya tamasha Ikulu, mrembo anaemmiliki (+video)

Thu, 10 Sep 2020 Source: millardayo.com

Kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii imesambaa picha ya jamaa ambaye watu naamini hawakumfahamu bali wali-share picha kutokana na muonekano wa mhusika na mrembo aliekuwa akizunguka nae, nimeona nikuletee umfahamu japo kwa uchache.

Kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii imesambaa picha ya jamaa ambaye watu naamini hawakumfahamu bali wali-share picha kutokana na muonekano wa mhusika na mrembo aliekuwa akizunguka nae, nimeona nikuletee umfahamu japo kwa uchache. Huyu anaitwa Moussa Sandiana Kaba ni muimbaji na comedian anayetokea nchini Guinée kwao wanamfahamu kwa jina la Grand P, bonyeza PLAY hapa chini kutazama stori yote.

Chanzo: millardayo.com