0

DIAMOND ASHINDA TUNZO YA MSANII BORA WAKIUME AFRICA MASHARIKI

Mon, 16 Nov 2020 Source: zanzibar24.co.tz

Star wa Muziki kutoka Nchini Tanzania Nasib Abdul maarufu kama Diamondplatnumz ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa kiume Afrika Mashariki ‘Best male East Africa’ kwenye tuzo za AFRIMMA2020

Chanzo: zanzibar24.co.tz