0

Burna Boy kusikika katika uapisho wa Joe Biden

Wed, 20 Jan 2021 Source: millardayo.com

Taarifa ikufikie kuwa wimbo wa ‘Destiny’ wa msanii kutoka Nigeria ‘Burna boy’ utakuwa katika orodha ya nyimbo zitakazopigwa katika sherehe za uapisho wa rais mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake Kamala Harris hii leo.

Hafla ya uapisho wa rais huyo itafanyika huko Washington DC na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo makamu wa rais anayemaliza muda wake Mike Pence.

Wasanii wengine ambao nyimbo zao zitasikika ni Dua Lipa, Tame Impala na Kygo huku Beyonce, Lady Gaga na Kendrick Lamar.

GENIUS ALIEONGOZA KIDATO CHA 4 NCHI NZIMA “BABA AMEFARIKI, MAMA ALIBAKI BUBU, ZAWADI IPHONE 12”

Chanzo: millardayo.com