0

Watakaoamua matokeo kwa Mkapa

Watakaoamua matokeo kwa Mkapa

Fri, 6 Nov 2020 Source: Mwanaspoti

By THOMAS NG’ITU HAINA ubishi kwamba mchezo wa watani unaamuliwa na wachezaji wachache katika maeneo mbalimbali kama vile ukabaji, ufungaji na hata uchezeshaji.

Cheki itakavyokuwa;

METACHA MNATA

Huyu ndio kipa namba moja wa Yanga kwa sasa kutokana na uwezo wake wa kulilinda lango, Metacha katika mechi saba alizocheza ameruhusu goli moja tu.

Katika mchezo huu kama akiwa kwenye afya njema maana yake ni atakuwa miongoni mwa wachezaji watakaoamua matokeo, kwani asipokubali kufungwa maana yake matokeo yanaweza kuwa sare au ushinda kwa Yanga.

AISHI MANULA

Chanzo: Mwanaspoti