0

PICHA: Bondia Mwakinyo na Paz wa Argentina wapima uzito

PICHA: Bondia Mwakinyo na Paz wa Argentina wapima uzito

Thu, 12 Nov 2020 Source: Millard Ayo

Bondia Hassan Mwakinyo kesho November 13 2020 atapanda ulingoni kupambana dhidi ya Carlos Paz kutokea Argentina.

Bondia Hassan Mwakinyo kesho November 13 2020 atapanda ulingoni kupambana dhidi ya Carlos Paz kutokea Argentina. Mwakinyo katika pambano la round 12 ambalo litafanyika Next Door Arena wakiwania Ubingwa wa WBF, usiku huo kutakuwa na mapambano manne tu.

Chanzo: Millard Ayo