0

MAJI MAKALI YAFUTWA LIGI DARAJA LAKWANZA KANDA YA PEMBA

Thu, 3 Sep 2020 Source: zanzibar24.co.tz

Msimamo wa Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Pemba, Wana Jeshi Hardrock, New Stone Town na Shaba wanawania kupanda Ligi Kuu huku timu ya Maji Makali ikifutwa katika Ligi hiyo kufuatia kufikisha zaidi ya Michezo 3 kutokwenda Uwanjani.

Katika ligi hiyo timu 1 itaungana na timu 11 kutoka Unguja kucheza Ligi Kuu Soka ya Zanzibar msimu ujao wa mwaka 2020-2021 ambayo itakuwa na jumla ya timu 12 miongoni mwao ni Mlandege, Zimamoto, JKU, KMKM, Mafunzo, KVZ, Kipanga, Polisi, Chuoni, Malindi na Black Sailors.

Kwa habari za michezo tembelea www.dimbani.co.tz

Chanzo: zanzibar24.co.tz