0

LIGI KUU ZANZIBAR KUANZA RASMIN LEO

LIGI KUU ZANZIBAR KUANZA RASMIN LEO

Fri, 20 Nov 2020 Source: Zanzibar 24

Msimu mpya wa mwaka 2020-2021 wa ya Ligi Kuu ya Zanzibar unatarajiwa kuanza 2`Leo Ijumaa November 20,2020 ambapo itaanza kwa kuchezwa michezo miwili pekee katika viwanja viwili tofauti Amani na Mau.

Msimu mpya wa mwaka 2020-2021 wa ya Ligi Kuu ya Zanzibar unatarajiwa kuanza 2`Leo Ijumaa November 20,2020 ambapo itaanza kwa kuchezwa michezo miwili pekee katika viwanja viwili tofauti Amani na Mau. Katika uwanja wa Amaan 10:00 Alasiri utachezwa mchezo mkali kati ya kikosi cha JKU na KIPANGA, na katika uwanja wa MAU A 10:00 Alasiri KVZ wataikaribisha Black sailor.

Chanzo: Zanzibar 24