0

Kaze: Tulikosa wachezaji wa kuamua mechi

Kaze: Tulikosa wachezaji wa kuamua mechi

Sun, 8 Nov 2020 Source: Mwanaspoti

BAADA ya matokeo ya sare 1-1 kati Yanga na Simba, kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze ameweka wazi kwamba alikosa wachezaji wa benchi wa kwenda kuamua mchezo.

 

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo kumalizika, Kaze alisema hakuwa na mchezaji wa benchi kwenda kucheza kama ambavyo walivyocheza uwanjani.

 

"Walipotoka waliokuwepo na kuingia wengine, hawakuweza kucheza kwa nguvu kama ambavyo walikuwa wanacheza waliokuwa uwanjani na hii ni tatizo lililotokeoa."

 

Chanzo: Mwanaspoti