0

KAGERE: LILIANZA LA HERIZI NIKANYAMAZA NA SASA LA KUMPIGA KOCHA

KAGERE: LILIANZA LA HERIZI NIKANYAMAZA NA SASA LA KUMPIGA KOCHA

Thu, 3 Sep 2020 Source: Zanzibar 24

Mshambuliji wa klabu bingwa Tanzania Bara (VPL) na Kombe la Shirikisho (ASFC) Simba SC, Meddie Kagere amesema amesikitishwa na taarifa zilizosambaa mtandaoni kuwa amempiga kocha wa timu hiyo, Sevn Vandenbroeck.

“Kuna mambo huwa yanasemwa kuhusu mimi ambayo siyo ya kweli yenye lengo la kunichafua ndiyo maana sijawahi kuwajibu.”

“Lilianza la hirizi nikanyamaza na sasa limekuja la mimi kupigana na kocha kitu ambacho siyo kweli. Tangu tumefika Mbeya hatujafanya mazoezi na leo muda huu ndiyo tunafanya sasa nashangaa sijui mwalimu nimempiga wapi,” alisema Kegere.

Kwa habari za michezo tembelea www.dimbani.co.tz

Chanzo: Zanzibar 24