0

Coastal yaipiga Mtibwa Sugar kwao

Coastal yaipiga Mtibwa Sugar kwao

Thu, 5 Nov 2020 Source: Mwanaspoti

By OLIPA ASSACOASTAL  Union imepanda kutoka nafasi ya 15 mpaka ya 11,  baada ya kushinda mechi ya leo Alhamisi, Novemba 5, 2020 dhidi ya  Mtibwa Sugar, bao 1-0, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

 

Mtibwa Sugar ndio imeshushwa na Coastal Union,  iliyokuwa nafasi ya 11, ikiwa na pointi 11, imecheza mechi 10, imeshinda tatu, sare mbili na imefungwa  michezo mitano, hivyo imebakia na pointi zake 11.

 

Wakati Coastal Union, imecheza mechi10, imeshinda tatu, sare tatu, imefungwa minne, kwa matokeo hayo imejikusanyia pointi 12 na kuwa nafasi ya 11 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara.

 

Chanzo: Mwanaspoti