0
Menu
Infos

Watumishi wasiowasilisha TIN NUMBER zao hawatolipwa mshahara January

Watumishi wasiowasilisha TIN NUMBER zao hawatolipwa mshahara January

Fri, 20 Nov 2020 Source: Millard Ayo

Serikai imetangaza Mfanyakazi ambaye hatawasilisha namba ya Mlipa Kodi (TIN) hadi Desemba 31 mwaka huu hatalipwa mshahara wa Januari.

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi kutoka TRA, Richard Kayombo amesema, “Kila mwajiri anatakiwa kuwasilisha namba ya mlipakodi ya Mwajiriwa wake kwenye malipo. Mchakato huu utakwisha Desemba 31”.

Kila Mfanyakazi anapokatwa kodi katika mshahara wake, inatakiwa iende TRA ikionesha kiasi kilichokatwa kwa Mtumishi na Namba ya Mlipakodi.

KINACHOENDELEA UBELGIJI BALOZI AFICHUA MAPYA, AKANUSHA UPOTOSHAJI UNAOENDELEA

Chanzo: Millard Ayo