0
Menu
Infos

RC mguu kwa mguu akikagua bei ya cement, atajiwa chanzo bei kupanda (+video)

RC mguu kwa mguu akikagua bei ya cement, atajiwa chanzo bei kupanda (+video)

Fri, 20 Nov 2020 Source: Millard Ayo

Wafanyabaishara wauzaji wa cement Mkoani Kigoma wameeleza kupanda kwa bei ya uuzaji wa bidhaa hizo ni kutokana na changamoto ya usafirishaji kwa njia ya treni kutoka kiwandani ambapo husababisha ucheleweshaji wa bihdaa hizo sokoni.

Wameeleza hayo katika ziara ya RC Kigoma Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye alipotembela maduka ya wauzaji wa jumla na rejareja wa mifuko ya saruji katika Manispaa ya Kigoma Ujiji kujua hali ya ununuzi na uuzaji wa bidhaa hiyo .

MWINYI AIBUA MAPYA YA MAALIM SEIF “NIMEWAACHIA NAFASI ACT WAZALENDO ZA MAWAZIRI”

Chanzo: Millard Ayo