0
Menu
Infos

Mtoto afariki kwa shoti ya umeme "aliulalia waya sehemu za mapajani" (+video)

Video Archive
Wed, 18 Nov 2020 Source: Millard Ayo

Kulwa Iddy Ramadhan mtoto wa miaka mitano (5) amefariki kwa kupigwa shoti ya umeme baada ya kuangukia waya wa umeme uliokatika nje ya nyumba na kusababusha kifo katika Mtaa wa Kamna Kata ya Tamkareli Manispaa ya Tabora.

Kulwa Iddy Ramadhan mtoto wa miaka mitano (5) amefariki kwa kupigwa shoti ya umeme baada ya kuangukia waya wa umeme uliokatika nje ya nyumba na kusababusha kifo katika Mtaa wa Kamna Kata ya Tamkareli Manispaa ya Tabora. HATARI YA NABII AINGIA KWENYE KUNDI LA SIMBA AKIDHANI HATOLIWA KAMA DANIEL, ALIBAKI MIFUPA

Chanzo: Millard Ayo