0
Menu
Infos

Kinachoendelea Ubelgiji Balozi afichua mapya, akanusha taarifa zinazoenea (+video)

Video Archive
Fri, 20 Nov 2020 Source: Millard Ayo

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji afunguka na kutoa ufafanuzi taarifa za ‘uzushi’ zinasosambazwa Mitandaoni kuhusu Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU), awaambia Watanzania kuwa taarifa zile zipuuzwe na si za kweli.

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji afunguka na kutoa ufafanuzi taarifa za ‘uzushi’ zinasosambazwa Mitandaoni kuhusu Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU), awaambia Watanzania kuwa taarifa zile zipuuzwe na si za kweli. MATESO MAKALI ANAYOPATA MFUASI WA BOBI WINE, SABA WAMEUAWA

Chanzo: Millard Ayo