0
Menu
Infos

Baraza la Mawaziri Zanzibar kutangazwa leo

Baraza la Mawaziri Zanzibar kutangazwa leo

Thu, 19 Nov 2020 Source: Millard Ayo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kesho Novemba 19, 2020 anatarajiwa kutangaza Baraza jipya la Mawaziri Ia Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika hafla maalum itakayofanyika asubuhi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kesho Novemba 19, 2020 anatarajiwa kutangaza Baraza jipya la Mawaziri Ia Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika hafla maalum itakayofanyika asubuhi. HATARI YA NABII AINGIA KWENYE KUNDI LA SIMBA AKIDHANI HATOLIWA KAMA DANIEL, ALIBAKI MIFUPA

Chanzo: Millard Ayo